PRECISION AIR FINANCIAL RESULTS 2012/2013

PRECISION AIR FINANCIAL RESULTS 2012/2013 PRESS RELEASE Dar Es Salaam, August 30th, 2013 The Board of Directors of Precision Air Services Plc is pleased to announce its full year results for the year ended March 31st 2013. The company made a net … [Read More...]

Naibu Spika Job Ndugai

Nakumbuka Aprili 17, 2013 wakati mjadala wa Bunge kuhusu kusitishwa kwa hotuba ya Kambi Rasmi ya Upinzani ukiendelea, Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba (CCM) alitoa lugha chafu ya matusi na alisikika waziwazi akitoa maneno makali, “C’mon! F**k You!” (Sikiliza "AUDIO" hapa chini au rejea makala iliyopita => Peter Serukamba (MP) Saying, “C’mon! F**k You!”) Lugha hii ya matusi mbele ya Bunge haikuwa na tatizo kwa Naibu Spika wa Bunge, Bw. Job Ndugai kwani aliridhika nayo kabisa na bila kusita au kuona aibu alimruhusu Bw. Serukamba kuendelea na kusema, “Mhe. Serukamba ndiye mwenye nafasi ya kusema, … [Read More...]